Kuhusu Kipindi

Tarehe 15 Juni mpaka tarehe 13 Juli, mwaka wa 2019, taifa la cameroon, linajiandaa kukaribisha timu 24 kushiriki kinyan’garo cha kombe la bara Afrika awamu ya 32, ikiwa hii ndio mara ya kwanza timu zaidi ya 16 zimeratibiwa kushiriki. Hii itakua mara ya kwanza shindano hilo kuandaliwa mwezi juni kinyume na awali lilipokuwa Januari. Mechi za kufuzu kutoka awamu ya makundi, yanaendelea. Je, mtanange wa AFCON umeimarika vipi barani hadi kuchangamkiwa na kizazi cha sasa? Kwenye kipindi hiki, kevin oduor anaangazia historia ya Afrika tangu kuanza hadi sasa. Sikiliza ili kufahamu kama Kenya itanikiwa kushinda kikombe mara hii...

Tupe maoni yako kuhusu kipindi hiki kwenye sehemu ya maoni iliyo chini

Kwa vipindi mpya kutoka Talanta Viwanjani, Fuata PortableVoices kweny Facebook, Twitter na Instagram >> @portablevoices, ukitumia hashtag #talantaviwanjani

Mitandao ya Kijamii:
@portablevoices presents Talanta Viwanjani Episode 1. Pata vipindi vipya kutoka portablevoices kwenye SoundCloud, Itunes na www.portablevoices.com.

Talanta Viwanjani ni toleo la PortableVoices Studios.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *