Menu
latest_bongo La Biashara
Kipindi #2: Usajili wa Biashara
On September 20, 2018 | 0 Comments |

Wengi wanao anzisha biashara kibera, hupenda kuanza kwanza ndio watafuta vibali na leseni vya biashara zao baadae, bila kujua kwamba wanahararisha biashara. Kwenye kipindi hiki, tumekutayarishia yote kuhusu usajili wa biashara nchini Kenya.

Kipindi #1: Hali ya Biashara Kibera
On September 20, 2018 | 0 Comments |

Kuhusu Kipindi hikiKibera ni mahali yenye biashara mingi licha ya kuwa ni miongoni mwa sehemu zenye mapato ya chini. Hata hivyo kuanza na kukuza biashara sehemu ya Kibera, ni tofauti kabisa na sehemu nyinginezo. Kwenye kipindi hiki tuangazia hali ya biashara ilivyo kibera na yapi ya kutarajia.

0

Your Cart